Amico Agnifili
Mandhari
Amico Agnifili (au Agnifilo; anajulikana kama Kardinali wa L'Aquila; takriban 1398 – 1476) alikuwa askofu na kardinali wa Kanisa Katoliki nchini Italia. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Biography from Biographical Dictionary of Cardinals of the Holy Roman Church". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-13. Iliwekwa mnamo 2025-02-19.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |