Amelia Rosselli
Mandhari
Amelia Rosselli (Paris, 28 Machi 1930 – Roma, 11 Februari 1996) alikuwa mshairi, mwanamuziki, na mwanamuziki wa kisayansi kutoka nchini Italia aliyekuwa karibu sana na wanamuziki John Cage na Karlheinz Stockhausen.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rosselli, Amelia katika Enciclopedia Treccani" (kwa Kiitaliano). Istituto della Enciclopedia Italiana. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amelia Rosselli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |