Ambrose Madtha
Mandhari
Ambrose Madtha (2 Novemba 1955 – 8 Desemba 2012) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki na Balozi wa Papa kwa Ivory Coast. Alikuwa Mhindi wa sita kuwa Nuncio.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in it) Rinunce e Nomine, 08.05.2008 (Press release). Holy See Press Office. 8 May 2008. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2008/05/08/0305/00708.html. Retrieved 6 July 2019.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |