Ambrose De Paoli
Mandhari
Ambrose Battista De Paoli (19 Agosti 1934 – 10 Oktoba 2007) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani ambaye alihudumu katika Huduma ya Kidiplomasia ya Vatikani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishops who are not Ordinaries: DEN… – DEQ…". www.gcatholic.org. Iliwekwa mnamo 2020-05-30.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |