Ambovombe
Mandhari

Ambovombe (au Ambovombe-Androy) ni mji mkuu wa mkoa wa Androy nchini Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 66,818.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ambovombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |