Nenda kwa yaliyomo

Amara Jones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amara Jones (alizaliwa 18 Septemba 1991) ni mwanariadha wa mbio (sprinter) kutoka Freeport, Bahama, aliyeshiriki katika mbio za mita 200 na mita 400. Alisoma katika Sunland Baptist Academy huko Freeport, Bahamas, kabla ya kuendelea kushindania Chuo Kikuu cha Savannah State.[1]

Jones alichaguliwa kuwa sehemu ya timu ya Bahamas ya Michezo ya Olimpiki ya 2012, ingawa hakushiriki katika mashindano hayo. Pia alishiriki katika Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 2013 yaliyofanyika Moscow, Urusi.[2][3]

  1. "Former Savannah State Track Star Heads to London Olympics". savannahherald.net. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "SSU Graduate Amara Jones Cherishes Olympic Experience". ssuathletics.com. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "An In Depth Look at Bahamas London 2012 Track Team. 13th – V'Alonee Robinson, Sheniqua Ferguaon, Amara Jones Anthonique Strachan". Bahamas Weekly. Iliwekwa mnamo 5 Machi 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amara Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.