Amanda Seyfried
Mandhari

Amanda Michelle Seyfried (alizaliwa Allentown, Pennsylvania, 3 Desemba 1985)[1] ni muigizaji wa Marekani. Tuzo alizotunukiwa ni pamoja na Tuzo ya Golden Globe na Tuzo ya Primetime Emmy, pamoja na kuteuliwa kuwania Tuzo ya Akademi (Oscar).[2]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Mama yake, Ann Seyfried (jina la utotoni Sander), alikuwa mtaalamu wa tiba ya kazi (occupational therapist), na baba yake, Jack Seyfried, alikuwa mfamasia. [3]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Wakati akisoma katika Shule ya Upili ya William Allen huko Allentown, Seyfried alianza kazi ya uanamitindo (modeling). Alitokea kwenye matangazo kadhaa ya magazetini ya kampuni za nguo, ikiwemo kampuni ya Limited Too akiwa pamoja na Leighton Meester, na alionekana kwenye majarida matatu ya jalada la mfululizo wa riwaya za Sweet Valley High.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.empireonline.com/people/amanda-seyfried/
- ↑ https://www.mcall.com/2008/07/13/its-just-so-ridiculous-with-a-star-turn-in-mamma-mia-allentown-native-amanda-seyfried-has-sung-her-way-onto-the-hollywood-a-list-she-talks-abut-her-exciting-life/
- ↑ https://www.today.com/popculture/amanda-seyfried-finding-your-roots-rcna184875
- ↑ https://www.mcall.com/2008/07/13/amanda-seyfried-from-soaps-to-big-screen-stardom/
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amanda Seyfried kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |