Amanda Palmer
Mandhari
Amanda MacKinnon Palmer (amezaliwa 30 Aprili, 1976) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki na mtaalamu wa sanaa ya maonyesho kutoka Marekani. Yeye ni mwimbaji mkuu, mpigaji kinanda na mwandishi wa maneno wa duo ya the Dresden Dolls.[1][2] [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Band Tries to Make It Big Without Going Broke". Chris Arnold. All Things Considered (National Public Radio). January 17, 2007. https://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=6885355. The web page also has audio and a transcript of the interview, and links to several of their songs.
- ↑ "my earth-shattering news, by amanda fucking palmer". Amanda Palmer Blog (kwa American English). Februari 9, 2012. Iliwekwa mnamo Novemba 2, 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The crowdfunded cult of Amanda Palmer". Engadget. Desemba 13, 2019. Iliwekwa mnamo Julai 6, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amanda Palmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |