Amal Mint Maouloud
Mandhari
Amal Mint Maouloud ni mhandisi na mwanasiasa kutoka Mauritania wa chama cha Equity (mauritania). Amefanya kazi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mauritania Airlines na pia katika secta za nishati nchini Ufaransa na Mauritania. Amehudumu kama Waziri wa Maji na Usafi wa mazingira katika Serikali ya Mokhtar Ould Djay tangu tarehe 6 Agosti 2024.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amal Mint Maouloud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |