Nenda kwa yaliyomo

Amadou Haidara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amadou Haidara (alizaliwa 31 Januari 1998) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Mali anayekipiga kama kiungo wa kati katika klabu ya RB Leipzig ya Bundesliga na pia anawakilisha timu ya taifa ya Mali.[1][2]

  1. "Amadou Haidara". RB Leipzig. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Mei 2023. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "FC Red Bull Salzburg 2–1 Marseille". BBC Sport. 3 Mei 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amadou Haidara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.