Aly Abeid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Yacoub Aly Abeid (alizaliwa 11 Desemba 1997) ni mchezaji wa soka wa Mauritania ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Hispania iitwayo AD Alcorcón kwa mkopo kutoka katika klabu ya Levante UD na Timu ya taifa ya Mauritania .

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aly Abeid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.