Nenda kwa yaliyomo

Alwin Albert Hafner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alwin Albert Hafner, MSF (11 Septemba 19307 Januari 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipadrishwa kuwa padre mnamo 1957, Hafner alihudumu kama askofu wa Dayosisi ya Morombe, Madagaska kutoka 1989 hadi 2000.[1]

  1. "Lasa ny Raiamandreniben'ny diosezin'i Morombe - Lakroan'i Madagasikara on line - Les actualités sociales et religieuses à Madagascar" [The Patriarch of the Diocese of Morombe is gone]. www.lakroa.mg (kwa Kimalagasi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-19. Iliwekwa mnamo 2021-08-19.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.