Alvin and the Chipmunks: Chipwrecked

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alvin and the Chipmunks: Chipwrecked ni filamu ya vichekesho ya nchini Marekani iliyotoka mwaka 2011 na kuongozwa na Mike Mitchell na ni moja ya mfululizo wa filamu za katuni zinazojulikana kama Alvin and the Chipmunks .Wahusika wakuu katika filamu hii ni Jason Lee , David Cross , Jenny Slate,Justin Long, Matthew Gray Gubler, Jesse McCartney, Amy Poehler, Anna Faris, Christina Applegate .

Filamu hii ilizinduliwa mnamo tarehe 16 Desemba 2011 na kugharimu jumla ya dola za kimarekani milioni themanini ,Filamu nyingine katika mfululizo wa filamu hizi,filamu ya The Road Chip, ilizinduliwa mano mwezi Desemba 18 mwaka 2015.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kit, Borys (December 18, 2014). "'Alvin and the Chipmunks 4' Finds a Director (Exclusive)". The Hollywood Reporter. Iliwekwa mnamo December 18, 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alvin and the Chipmunks: Chipwrecked kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.