Nenda kwa yaliyomo

Alvark Tokyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alvark Tokyo ni timu ya kikapu ya kitaalamu ya Japani, inayodhaminiwa na Toyota na inacheza B.League. Ilianzishwa mwaka 1948 kama Toyota Pacers na ilishinda mataji mawili ya JBL Super League mwaka 2006 na 2007[1].

  1. "JPBLの「1部~3部階層分け発表記者会見」について" [Regarding the JPBL's "Division 1-3 Assignment Press Conference"] (kwa Kijapani). Nishinomiya Storks. 30 Julai 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Alvark Tokyo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.