Althea Gibson
Mandhari
Althea Neale Gibson ( 25 Agosti 1927 – 28 Septemba 2003) alikuwa mchezaji wa tenisi na gofu wa kulipwa nchini Marekani.. Alikua mwanamke wa kwanza wa mwenye asili ya Afrikakutoka Amerika kushinda mataji ya Grand Slam katika tenisi, akishinda French Open mwaka 1956, Wimbledon na U.S. Open mwaka 1957 na 1958. Baada ya kustaafu tenisi, alijiunga na LPGA Tour mwaka 1964 na alicheza katika mashindano ya gofu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Althea Gibson". ITF Tennis. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 16, 2018. Iliwekwa mnamo Novemba 15, 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Althea Gibson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |