Nenda kwa yaliyomo

Aloysius Joseph Willinger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aloysius Joseph Willinger CSsR (1886–1973) alikuwa mwanachama wa Shirika la Mkombozi Mtakatifu (Congregation of the Most Holy Redeemer), linalojulikana kama Waredentori, na kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alihudumu kama Askofu wa Ponce kuanzia mwaka 1929 hadi 1946 na baadaye kama Askofu wa Monterey-Fresno kuanzia mwaka 1953 hadi 1967.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.