Aloysius Ambrozic
Mandhari
Aloysius Matthew Ambrozic (27 Januari 1930 – 26 Agosti 2011) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Toronto. Aliteuliwa kuwa kardinali tarehe 21 Februari 1998.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ambrozic Letter from Unavocetoront.com retrieved 12 July 2013
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |