Aloisius Joseph Muench
Mandhari
Aloisius Joseph Muench (18 Februari 1889 – 15 Februari 1962) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. [1][2]Alihudumu kama Askofu wa Fargo kuanzia 1935 hadi 1959, na baadaye kama Balozi wa Kitume (Apostolic Nuncio) nchini Ujerumani kuanzia 1951 hadi 1959.
Muench aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1959.[3]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Aloysius Joseph Cardinal Muench [Catholic-Hierarchy]
- ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 25, 2008. Iliwekwa mnamo Agosti 30, 2008.
{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) - ↑ Cardinal Muench / History
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |