Nenda kwa yaliyomo

Almería

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Almería ni mji wa Hispania, mji mkuu wa Mkoa wa Almería.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 198,533 [1] na kuufanya wa thelatini nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Almería kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.