Nenda kwa yaliyomo

Allyson Swaby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Allyson Renee Swaby (amezaliwa 3 Oktoba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kitaaluma anayecheza katika nafasi ya bega wa kati (centre back) kwa klabu ya Crystal Palace. Amezaliwa nchini Marekani, lakini anaiwakilisha Jamaika katika mashindano ya kimataifa.[1] [2]

  1. ↑ ANGEL CITY FOOTBALL CLUB CONFIRMS SIGNING OF JAMAICAN NATIONAL TEAM CAPTAIN ALLYSON SWABY FROM AS ROMA (Press release). https://angelcity.com/blogs/press/angel-city-football-club-confirms-signing-of-jamaican-national-team-captain-allyson-swaby-from-as-roma. Retrieved 22 December 2021.
  2. ↑ "Allyson Swaby loaned to Paris Saint-Germain". PSG.fr. 30 Januari 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-31. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allyson Swaby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.