Nenda kwa yaliyomo

Allysha Chapman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chapman akichezea timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Kanada mwaka 2016.

Allysha Lyn Chapman (amezaliwa 25 Januari, 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Kanada anayecheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Houston Dash katika Ligi ya kitaifa ya soka ya wanawake na timu ya taifa ya wanawake ya Kanada.[1][2]

  1. "Allysha Chapman". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 12, 2017. Iliwekwa mnamo Novemba 29, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Allysha Chapman - Women's Soccer". University of Alabama at Birmingham Athletics.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allysha Chapman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.