Allianz Parque

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa Alianz Parque
Uwanja wa Allianz Parque

Allianz Parque ni uwanja uliopo huko São Paulo, Brazil, uliojengwa ili kupokea maonyesho, matamasha, matukio ya kampuni na hasa mechi za soka za timu ya Sociedade Esportiva Palmeiras. Uwanja huo una uwezo wa kupokea watazamaji 43,713.

Ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2010 na kukamilishwa mnamo Novemba 2014.

Uwanja huu umekidhi viwango vyote vya FIFA, na hii hufanya uwanjwa kuruhusu kupata mashindano ya michezo muhimu zaidi.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allianz Parque kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.