Allan Alcorn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Allan Alcorn (alizaliwa mnamo 1 Januari, 1948) ni mhandisi na mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchini Marekani anayejulikana zaidi kwa kuunda Pong, moja ya michezo ya kwanza ya video.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Al Alcorn Interview. Iliwekwa mnamo November 9, 2015.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allan Alcorn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.