Aliou Mahamidou
Mandhari
Aliou Mahamidou (7 Juni 1947 – 13 Januari 1996) alikuwa mfanyabiashara na mwanasiasa wa Niger.[1]
Alihudumu kama Waziri Mkuu wa Niger kuanzia 2 Machi 1990 hadi 1 Novemba 1991.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Walter, Abed (2022-02-02), "Aliou Mahamidou's biography, fact, career, awards, net worth and life story - 44Bars.com", 44Bars.com (kwa American English), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-21, iliwekwa mnamo 2026-05-28
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aliou Mahamidou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |