Aliou Badji
Mandhari
Aliou Badji (alizaliwa 10 Oktoba, 1997) ni mchezaji mpira wa miguu ambaye anacheza kama Mshambuliaji kwa klabu ya TFF 1. Ligi Sivasspor.
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Casa Sports ilikuwa klabu ya kwanza ya Badji. Mnamo 31 Januari, 2017, alikamilisha uhamisho kwenda Sweden kujiunga na timu ya Allsvenskan Djurgårdens IF Fotboll, akisaini mkataba wa miaka minne.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "TV: Badji stor hjälte för Djurgården - avgjorde på stopptid". Fotbollskanalen. 22 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Badji räddade Djurgården – i 94:e". Sveriges Radio. 26 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "TV: Sen derbykvittering för Dif - men spöket lever efter stor miss". Fotbollskanalen. 27 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aliou Badji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |