Nenda kwa yaliyomo

Alice Wahome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alice Muthoni Wahome (alizaliwa 28 Aprili 1959) ni mwanasiasa kutoka Kenya. Alihudumu kama Katibu wa Wizara ya Ardhi, Ujenzi wa Umma, Makazi na Maendeleo ya Miji.

Wahome alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kandara katika uchaguzi mkuu wa Machi 2013, na alifanikiwa kulinda kiti chake mwaka 2017 na 2022 kabla ya kujiuzulu nafasi hiyo ili kujiunga na serikali ya wizara. Pia ni mwanachama wa chama cha UDA.

Baadaye, aliifutwa kutoka wadhifa wa Katibu wa Wizara mwezi Julai 2024.[1][2][3]

  1. "Alice Muthoni Wahome". Kenyan Politicians. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Septemba 2016. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Hon. Alice Muthoni Wahome". Kenya Women Parliamentary Association. 6 Septemba 2016. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Alice Muthoni Wahome | Kenyans.co.ke". www.kenyans.co.ke. Iliwekwa mnamo 2021-05-18.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Wahome kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.