Nenda kwa yaliyomo

Alice Eastwood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alice Eastwood (Januari 19, 1859Oktoba 30, 1953) alikuwa mwanabotania mwenye asili ya Kanada na uraia wa Marekani. Alihesabiwa kwa kujenga mkusanyiko wa botania katika Chuo cha Sayansi cha California (California Academy of Sciences) huko San Francisco. Alichapisha zaidi ya makala 310 za kisayansi na aliandika majina ya spishi za mimea ya nchi kavu 395, nambari ya nne kwa idadi ya majina kama hayo yaliyoandikwa na mwanasayansi wa kike.[1][2]

  1. Lindon, Heather L.; Gardiner, Lauren M.; Brady, Abigail; Vorontsova, Maria S. (5 Mei 2015). "Fewer than three percent of land plant species named by women: Author gender over 260 years". Taxon. 64 (2): 209–215. Bibcode:2015Taxon..64..209L. doi:10.12705/642.4.
  2. Bonta, Marcia (1991). Women in the field : America's pioneering women naturalists (tol. la 1). College Station: Texas A & M University Press. ku. 93–102. ISBN 0-89096-467-X. OCLC 22623848.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Eastwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.