Nenda kwa yaliyomo

Alicante

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alicante ni mji wa Hispania, makao makuu ya mkoa wa Alicante.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 334,887 [1] na kuufanya wa kumi na moja nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alicante kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.