Nenda kwa yaliyomo

Ali Rouabah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ali Rouabah

Rais wa 1 wa USM Blida
Amezaliwa 21 Desemba 1898
Blida, Algeria
Amekufa 31 Desemba 1971

(Na umri wa miaka 73)
Blida, Algeria

Kazi yake Mjumbe wa Halmashauri ya Manispaa

Ali Rouabah kama Braham (21 Desemba 1898 - 31 Desemba 1971) alikuwa Mjumbe wa Algeria wa baraza la Manispaa la Blida ambaye alitambuliwa kama Raisi rasmi wa 1 wa USM Blida kuanzia mwaka 1 Oktoba 1933 hadi 22 Juni 1936.


    Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Ali Rouabah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.