Ali Houary
Mandhari
Ali Houary Jeddoub (alizaliwa 5 Agosti, 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji au winga wa kushoto.
Anachezea klabu ya Hispania ya CD Mirandés kwa mkopo kutoka Elche CF.
Alizaliwa nchini Hispania, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya Moroko katika mashindano ya kimataifa.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ali Houary: "He cumplido un sueño que tengo desde pequeño"" [Ali Houary: "I have fulfilled a dream I had since I was little"] (kwa Kihispania). Diario Información. 31 Oktoba 2024. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "FÚTBOL BASE | Ali Houary, renueva con el Elche C.F." [YOUTH FOOTBALL | Ali Houary, renews with Elche C.F.] (kwa Kihispania). Elche CF. 11 Agosti 2023. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ali Houary kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |