Ali A. Zaidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali A. Zaidi (alizaliwa 1987/1988)[1] ni mwanasheria na mshauri wa kisiasa wa Pakistani-Marekani. Ali ni mshauri wa pili wa hali ya hewa wa Ikulu ya White House tangu mnamo mwaka 2021-2022. Alikuwa naibu waziri wa nishati na mazingira wa New York. Ali A Zaidi alihudumu katika nafasi za sera za hali ya hewa katika utawala wa Obama ikiwa ni pamoja na kuwa naibu mkurugenzi wa sera za nishati na mkurugenzi wa rasilimali za asili, nishati na sayansi katika Ofisi ya Usimamizi na Bajeti. Ali A. Zaidi alikuwa msaidizi wa sera ya Marekani iliyoongozwa na Waziri wa Nishati Steven Chu. Alitumikia kama Naibu Mshauri wa Hali ya Hewa wa kwanza wa Ikulu ya White House kutoka 2021 hadi 2022.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ali A. Zaidi – Deputy National Climate Advisor". Desemba 29, 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-29. Iliwekwa mnamo 2023-04-06. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali A. Zaidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.