Ali-Akbar Dehkhoda
Mandhari
Allamah Ali-Akbar Dehkhodā (9 Machi 1956) alikuwa mwandishi mashuhuri wa fasihi, mtaalamu wa lugha (filolojia), na mwandishi wa kamusi wa Iran.
Alikuwa mwandishi wa Kamusi ya Dehkhoda (Dehkhoda Dictionary), ambayo ndiyo kamusi pana na kubwa zaidi ya lugha ya Kiajemi iliyowahi kuchapishwa hadi sasa.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Dehkhoda alizaliwa mjini Tehran na wazazi wake walitokea Qazvin. Baba yake, Khan-Baba Khan Ghazvini, alifariki dunia wakati Dehkhoda akiwa na umri wa miaka 9 tu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ali akbar dehkhoda". Real Iran. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ali-Akbar Dehkhoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |