Alfredo Pacini
Mandhari
Alfredo Pacini (10 Februari 1888 – 23 Desemba 1967) alikuwa askofu mkuu wa Italia katika Kanisa Katoliki. Alikuwa Balozi Maalum (Nuncio) kwa Uswisi kutoka mwaka 1960 hadi 1967, akafanyika Kardinali mwaka 1967.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XXXXI. 1949. uk. 431. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |