Nenda kwa yaliyomo

Alfredo Ottaviani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfredo Ottaviani (29 Oktoba 18903 Agosti 1979) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Papa Pius XII alimteuwa kuwa Kardinali mwaka 1953. Alihudumu kama katibu wa Ofisi Takatifu (Holy Office) katika Kuria ya Kirumi kuanzia 1959 hadi 1966, wakati ofisi hiyo ilipopangwa upya kuwa Kongregesheni ya Mafundisho ya Imani (Congregation for the Doctrine of the Faith), ambapo alihudumu kama pro-prefekti hadi 1968.

Ottaviani alikuwa kiongozi maarufu katika Kanisa Katoliki wakati wake, na alikuwa mlinzi mkuu wa mapokeo ya Kanisa Katoliki wakati wa Mtaguso wa pili wa Vatikani.[1]

  1. Second Vatican Council, Dei verbum: Dogmatic Constitution on Divine Revelation, paragraph 9, published on 18 November 1965, accessed on 4 October 2025
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.