Alfredo Di Stefano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfredo Di Stefano.
Picha yake nyingine.

Alfredo Di Stefano (4 Julai 1926 - 7 Julai 2014) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Argentina na timu ya klabu ya Real Madrid aliyecheza katika nafasi ya mshambuliaji.

Alifanikiwa kuchukua tuzo ya Ballon d'Or mara mbili mwaka 1957 na mwaka 1959, pia alipigwa kura na kuwa mtu wa nne katika kura za mchezaji bora wa karne ya 20 nyuma ya Pele, Diego Maradona na Johan Cruyff.

Alifariki kwa ugonjwa wa moyo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfredo Di Stefano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.