Alfredo Ábalos
Mandhari
Alfredo Omar Ábalos (aliyezaliwa tarehe 17 Machi 1986) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga kama kiungo kwa klabu ya Chile, San Marcos de Arica.[1]
Mwaka 2016, Ábalos alihamia Chile na kusaini mkataba na klabu ya Curicó Unido.
Mwaka 2025, Ábalos alijiunga na San Marcos de Arica baada ya kukaa kwa miaka mitano akiichezea klabu ya Rangers de Talca.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "cdpcuricounido.cl". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 6 Machi 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Huerta, Rodrigo (17 Mei 2025). ""Cuando vine a Chile tenía pensado estar un año y volver a Argentina... ya voy a cumplir 10"". Diario AS (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 17 Mei 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfredo Ábalos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |