Nenda kwa yaliyomo

Alfred Wainwright

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfred Wainwright (Januari 17, 1907Januari 20, 1991), aliyependelea kujulikana kama A. Wainwright[1] au A.W., alikuwa mwandishi wa vitabu vya miongozo, na mchoraji picha nchini Uingereza. Mwongozo wake wa sehemu saba wa Pictorial Guide to the Lakeland Fells, uliochapishwa kati ya 1955 na 1966 na uliojumuisha nakala za maandishi yake, ulikuwa kitabu cha kawaida cha marejeo kwa vilele 214 vya eneo la English Lake District. Miongoni mwa vitabu vyake zaidi ya 40 ni mwongozo wake wa kwanza wa Coast to Coast Walk, njia ya urefu wa maili 182 iliyobuniwa na Wainwright ambayo inabaki kuwa maarufu hadi leo.

  1. "Alfred Wainwright: Grumpy, reclusive and eccentric". The Independent. 2 Julai 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-28. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Wainwright kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.