Alfred Dan Moussa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfred Dan Moussa
[[Image:
13_ISTC_2017
|225px|alt=]]
Amezaliwa Alfred Dan Moussa

alizaliwa mwaka 1955
Nchi Ivory coast
Kazi yake mwandishi wa habari wa Ivory coast
Cheo rais wa International Francophone Press Union
Kipindi Agosti 2008

Alfred Dan Moussa alizaliwa mwaka 1955 ni mwandishi wa habari wa Ivory coast [1]Kuanzia Agosti 2008, Dan Moussa ndiye rais wa International Francophone Press Union.[2]

Alipata cheo hicho mwaka 2007[3] akipokea cheo hichi kutoka kwa Hervé Bourges,[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Alfred Dan Moussa (Cote d' Ivoire)". African Development Information Services. 2007-08-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-07. Iliwekwa mnamo 2008-09-03. 
  2. Ouédraogo, Alexise Evelyne. "Côte d`Ivoire: Lancement du prix Alfred Dan Moussa de la presse en ligne pour la paix et l’intégration africaine", Gabonews.ga, 2008-08-12. Retrieved on 2008-09-03. (French) Archived from the original on 2008-08-22. 
  3. "Alfred Dan Moussa". Who's Who From Côte d'Ivoire. African Development Information Services. 2007-08-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-07. Iliwekwa mnamo 2008-08-28. 
  4. Koutouan, Hervé. "Côte d'Ivoire: Union internationale de la presse francophone - Hervé Bourges annonce son successeur", Fraternité Matin (reproduced by allAfrica.com), 2007-12-03. Retrieved on 2008-08-29. (French) 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Dan Moussa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.