Nenda kwa yaliyomo

Alfred Bammesberger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfred Bammesberger (25 Septemba 19387 Januari 2025) alikuwa msomi wa Kijerumani ambaye alihudumu kama Profesa Mstaafu wa Lugha ya Kiingereza na Isimu linganishi katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Eichstätt. [1]

  1. Ingolstadt, Katholische Universität Eichstätt- (14 Januari 2025). "Sprachwissenschaftler Prof. Dr. Alfred Bammesberger verstorben". Katholische Universität Eichstätt - Ingolstadt (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 15 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Bammesberger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.