Nenda kwa yaliyomo

Alfonso Pedraza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfonso Pedraza Sag (alizaliwa 9 Aprili, 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Hispania ambaye anacheza kama beki wa kushoto au winga wa kushoto katika klabu ya Villarreal CF ya La Liga.

Alikulia katika akademi ya Villarreal CF na baadaye akaichezea klabu hiyo katika timu ya wakubwa pamoja na CD Lugo|Lugo, Leeds United F.C.|Leeds United, Deportivo Alavés na Real Betis.

Alishinda taji la Europa League la msimu wa 2020–21 akiwa na Villarreal. [1][2]

  1. ↑ "El eballense Alfonso Pedraza debuta con el Villarreal ante el Valencia" [Eballense Alfonso Pedraza debuts with Villarreal against Valencia] (kwa Kihispania). Minuto 90. 5 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 5 Aprili 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Campos, Tomás (5 Aprili 2015). "El Villarreal frena la euforia valencianista" [Villarreal stop Valencia euphoria]. Marca (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 5 Aprili 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfonso Pedraza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.