Alexis Mac Allister
Mandhari
Alexis Mac Allister (matamshi ya Kihispania: [a'leksis ma'kalisteɾ]; alizaliwa 24 Desemba 1998) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga kama kiungo kwa klabu ya Ligi Kuu ya England, Liverpool, pamoja na timu ya taifa ya Argentina. Anachukuliwa kuwa mmoja wa viungo bora zaidi duniani, na anajulikana kwa uwezo wake wa kupiga pasi, kufunga mabao, na uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2025 FC 100: Pedri among best central midfielders in men's soccer". ESPN. 4 Juni 2025. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Jeevathayalan, Vijievan; Ritchie, Calum; Mumford, Robin (12 Septemba 2023). "The 20 best midfielders in the world right now - ranked in order". GiveMeSport. Iliwekwa mnamo 2025-09-24.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 25 Best Central Midfielders in World Soccer—Ranked". SI. 20 Julai 2025. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexis Mac Allister kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |