Nenda kwa yaliyomo

Alexia Fast

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alexia Fast (amezaliwa 12 Septemba, 1992) ni mwigizaji wa Kanada ambaye alianza kazi yake akiwa na umri wa miaka saba, alipoandika, kuongoza na kuigiza katika filamu fupi The Red Bridge, ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika Atlantic Film Festival na Real to Reel International Film Festival mwaka 2002.[1][2]

  1. ↑ "Acting out the headlines: Alexia Fast of Blackbird" by Jonathan Forani at nationalpost.com
  2. ↑ "Former Doncaster student returns to Victoria to shoot movie" by Michael D. Reid at www.timescolonist.com. Archived 31 Oktoba 2022 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexia Fast kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.