Alexei Navalny

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexey Navalny (cropped) 1.jpg

Alexei Anatolievich Navalny (kwa Kirusi: Алексе́й Анато́льевич Нава́льный; amezaliwa 4 Juni 1976) ni mwanasiasa wa Urusi na mwanaharakati wa kupambana na ufisadi.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexei Navalny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.