Alexandru Todea
Mandhari
Alexandru Todea' (Teleac, Wilaya ya Mureș, 5 Juni 1912 – Târgu Mureș, 22 Mei 2002) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Romania wa Dayosisi ya Alba Iulia na baadaye kuwa kardinali.
Alikuwa pia miongoni mwa waathirika wa utawala wa kikomunisti, akiteseka katika magereza ya Jilava, Sighet, na Pitești.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Biography". www.bru.ro (kwa Kiromania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-01.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |