Alexandre Renard
Mandhari
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (18 January 2025) |
Alexandre-Charles-Albert-Joseph Renard (7 Juni 1906, Avelin, Nord – 8 Oktoba 1983, Paris) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Lyon.
Alipadrishwa tarehe 12 Julai 1931 huko Lille.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |