Nenda kwa yaliyomo

Alexandre José Maria dos Santos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Alexandre Jose Maria dos Santos, ambaye alikuwa Kadinali wa Kanisa Katoliki la Roma.

Alexandre José Maria dos Santos (18 Machi 192429 Septemba 2021) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Msumbiji. Alikuwa kardinali wa kwanza mzawa wa Msumbiji.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.