Alexander Rudnay
Mandhari
Alexander Stefan Rudnay de Rudna et Divékujfalu (4 Oktoba 1760 – 13 Septemba 1831) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki mwenye asili ya Hungaria-Slovakia.
Alianza kama kasisi wa parokia, lakini baadaye aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Esztergom, Mkuu wa Maaskofu wa Hungaria (Prince Primate of Hungary), na hatimaye Kardinali.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pallas Nagy Lexikona". Hungarian Electronic Library, mek.oszk.hu. Iliwekwa mnamo 2013-06-15.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |