Nenda kwa yaliyomo

Alexander Nübel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexander Nubel

Alexander Nübel (hutamkwa kwa Kijerumani: Aleksanda Nüübel; aliyezaliwa 30 Septemba 1996) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu wa Ujerumani anayocheza katika nafasi ya kipa.

Kwa sasa anachezea klabu ya Beşiktaş ya ligi ya Süper Lig nchini Uturuki, pamoja na timu ya taifa ya Ujerumani.

Maisha ya Awali ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Nübel alikulia Salzkotten-Tudorf, katika eneo la East Westphalia nchini Ujerumani, na alianza kucheza mpira wa miguu katika klabu ya TSV Tudorf.

Mwaka 2005, alijiunga na idara ya vijana ya SC Paderborn. Mwanzoni, hakuwa kipa bali alicheza kama mchezaji wa uwanjani, hadi alipofikia kiwango cha vijana chini ya miaka 14.

Akiwa Paderborn, alipandishwa kwenye kikosi cha kwanza cha klabu kwa msimu wa 2014–15, lakini hakushiriki katika mechi yoyote msimu huo.[1][2]

  1. ↑ https://www.worldfootball.net/person/pe263670/
  2. ↑ https://datencenter.dfb.de/en/data-center/people/alexander-nubel/player
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Nübel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.