Alexander Burdonsky
Mandhari
Alexander Vasilyevich Burdonsky (14 Oktoba 1941 – 23 Mei 2017) alikuwa mwongozaji wa tamthilia na filamu wa Urusi na mjukuu wa kiongozi wa Kisovieti, Joseph Stalin.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexander Burdonsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |