Alessio di Siregno
Mandhari
Alessio di Siregno, O.F.M. (pia anajulikana kama Alexis de Siregno au Alessio da Seregno) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Bobbio (1405–1409), Askofu wa Gap (1409–1411), na Askofu wa Piacenza (1411–1447).
Mzaliwa wa Milano, Alessio di Siregno alipewa daraja ya upadre katika Shirika la Ndugu Wadogo. Alipata shahada ya uzamili katika teolojia akawa mhubiri mashuhuri. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Alessio di Siregno, O.F.M." Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved September 25, 2016. Kigezo:Self published inline
- ↑ "Bishop Alessio da Seregno, O.F.M." GCatholic.org. Gabriel Chow. Retrieved September 25, 2016. Kigezo:Self published inline
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |